Riwaya:Ni kisa changamano ambacho huweza kuchambuliwa na kupimwa kwa mapana na marefu kifani na kimaudhui. Au Riwaya ni masimulizi marefu ya kubuni yaliyoandikwa ambayo hujumuisha wahusika wengi mawanda mapana ya kimandhari pamoja na kuelezea tukio zaidi ya moja.
Riwaya hufungamana na wakati yaani visa vinaendana/vinatendeka katika wakati Fulani,ina mawanda mapana kwa upande wa yale yanayozungumzwa wakati na mahali pia matukio hayo, vile vile riwaya ina sifa ya uchangamano wa wa visa,dhamira,tabia na wahusika.
No comments:
Post a Comment