Utungaji wa hadithi
Hadithi:ni ni kazi ya sanaa ya sanaa inayotumia lugha ya nathari. Hadithi yaweza kuwa ni masimulizi ya kweli au ya kubuni .Sanaa ya hadithi ni kazi ya mtu yenye wigo wa uyakinifu ambao unafungamana na wakati na mazingira.
Kwa kawaida masimulizi yanayokuwa katika hadithi yanaweza kumhusu mtu mmoja au watu wengi piamasimulizi hayo yanaweza kuhusu mambo yaliyotokea au yanayoweza kutokea. Hadithi hutofautiana kwa sababu ya tofauti za uwezo wa wasanii wa hadithi yenyewe.Kwa hiyo uwezo wa msanii ni muhimu katika ujenzi wa hadithi na pia sio tu uwezo wa msanii aidha wakati mwengine na lengo la msanii mwenyewe.
No comments:
Post a Comment