Sifa za Tamthiliya

Sifa za Tamthiliya
Tamthiliya huwa na sifa za kawaida za sanaa za maonyesho miongonimwa sifa hizo ni kama:
Dhana inayotendeka
Mtendaji
Uwanja wa kutendea
Watazamaji(Hadhira)
Kusudio la kisanaa:Hii hutupa uhakika kuwa kinachotendeka hapo kimedhamiriwa kwa sanaa na sio kitu kingine
Muktadha wa kisanaa:Unafafanua mazingira ya tukio hilo
  • Ubunifu:Ni muhimu ili kutofautisha kati ya tendo la dhati na tendo la kisanaa.

No comments:

Post a Comment

UTUNGAJI WA KAZI ZA FASIHI ANDISHI Utungaji wa kazi za fasihi andishi nii mada inayogusa au inayohusu ubunifu wa maandishi. Kubuni ni kutn...